Duration 3:2

JINSI YA KUPIKA MCHUZI WA SAMAKI WA NAZI

525 watched
0
11
Published 30 Jun 2020

karibu katika mapishi na Amanda, leo tunapika mchuzi wa samaki wa Nazi ambao unaweza kula kwa wali, ugali, chapatti n.k mahitaji samaki fish masala soy sause mtindi cumin/binzari nyembamba coriander seeds apple cider vinegar chumvi mafuta ya kukaangia samaki kitunguu kimoja kikubwa nyanya moja kubwa karoti hoho ginger garlic paste Nazi mbili ndogo au moja kubwa mahitaji haya yatafanya chakula chako kiwe kizuri na kuvutia na chenye ladha tamu, kama ni mara yako ya kwanza katika channel hii basi usisahau kusubscribe, kulike na kucomment, asante.

Category

Show more

Comments - 0