Biashara United wameibana mbavu Namungo FC na kulazimisha sare ya bao 1-1 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC #NBCPremierLeague kwenye Uwanja wa Ilulu mkoani Lindi.
Reliants Lusajo amefunga goli la Namungo huku Denis Nkane akichomoa kwa Biashara United. Haya hapa magoli.