Duration 16:12

| MAKASISI WABAKAJI | Wasichana wakiri kubakwa na makasisi

1 549 704 watched
0
5.3 K
Published 26 May 2019

Maeneo ya kuabudu ni maeneo yanayofaa kuwa takatifu, maeneo ambayo bila wasiwasi wowote utamruhusu mtoto wako kutembelea wakati wowote. Lakini tafakari haya unapokea taarifa kuwa mtoto wako amenajisiwa na pale unapokimbilia maafisa wanaoshughulika na masuala ya watoto badala ya kukusaidia wanakuambia ushahidi haupo na itabidi umrudishe mtoto wako anajisiwe mara ya pili ili kupata ushahidi. Huyu hapa mwanahabari wetu Purity Mwambia na makala ya maalum ya upekuzi 'makasisi wabakaji' #MakasisiWabakaji Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered. This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world. Follow us: http://citizentv.co.ke https://twitter.com/citizentvkenya https://www.facebook.com/Citizentvkenya https://plus.google.com/+ CitizenTVKenya https://instagram.com/citizentvkenya

Category

Show more

Comments - 1144