Duration 6:41

KILIMO MSETO (AGROFORESTRY) KILIVYOCHANGIA KUONGEZA KIPATO KWA WAKULIMA MKOANI MARA.

Published 21 Oct 2020

ANSAF kwa kushirikiana na Vi Agroforestry wameandaa makala yanayoangazia mafanikio ya utekelezaji wa mradi wa Agroforestry for Livelihood Empowerment (ALIVE) katika Mkoa wa Mara. Makala haya yanangazia jinsi gani kilimo mseto kilivyochangia kuongeza kipato kwa wakulima wadogo na hivyo kusaidia kupunguza umasikini katika ngazi ya kaya, mkoa na taifa kwa ujumla.

Category

Show more

Comments - 0