Duration 2:29

Hasira Hasara: Mtu mmoja amkata mkewe na wanawe wawili baada ya mzozo Kisii

1 606 watched
0
6
Published 21 Dec 2021

#Trending #KTNNews #KTNPrime Mwanamke mmoja na wanawe wanauguza majeraha katika hospitali ya rufaa ya Kisii baada kukatwa kwa upanga na mume wake. Kwa mujibu wa majirani kisa hicho kilifanyika wawili hao walipokuwa wametoka kupiga mtindi hivyo kukorofishana kiasi cha mkewe kulazwa katika chumba cha watu mahututi.kamanda mkuu wa polisi kaunti ya kisii Francis Kooli amesema mshukiwa anazuiliwa na polisi baada ya kujiwasilisha mwenyewe . Kenya's number one 24/7 news channel. KTN News TV keeps you updated on the latest news in Kenya and around the World. KTN News Live stream - Nairobi, Kenya Watch Breaking and the latest news happening in Kenya, Africa and across the globe in real-time. Livestream KTN News SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: / Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews

Category

Show more

Comments - 1