Duration 1:48

HUYU Ndio INJINIA wa MRADI ULIOTEMBELEWA NA NAIBU WAZIRI BASHE LEO, AELEZA CHANGAMOTO ZA MRADI

1 039 watched
0
13
Published 21 Dec 2021

Mkandarasi wa mradi wa kiwanada cha mbolea cha Itracom Fertilizers Limited Eng,Msafiri Gidion amesema kuwa changamoto iliyopo sasa katika mradi wa ujenzi wa kiwanda hicho ni ucheleweshwaji wa vibali vya kazi kwa wafanyakazi raia wa kigeni kutoka Nchini burundi,uhaba wa maji na kukatika kwa umeme mara kwa mara ndio changamoto kubwa inayochelewesha mradi huo kukamilika kwa haraka. Eng.Gidioni ameyasema hayo leo Desemba 21,2021 jijini Dodoma wakati akihojiwa na waandishi wa habari kwenye ziara ya Naibu Waziri wa Kilimo Mhe,Hussein Bashe alipotembelea kiwanda hicho HUYU Ndio INJINIA wa MRADI ULIOTEMBELEWA NA NAIBU WAZIRI BASHE LEO, AELEZA CHANGAMOTO ZA MRADI WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: http://instagram.com/wasafitv || http://instagram.com/wasafifm/ TWITTER: https://twitter.com/wasafitv || https://twitter.com/wasafifm/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/wasafitv/ 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm

Category

Show more

Comments - 2