Duration 3:32

Kutapika nyongo kwa mjamzito | Jinsia ya kuzuia kutapika wakati wa ujauzito

10 472 watched
0
111
Published 6 Aug 2020

Mama Mjamzito unapokuwa na ugonjwa wa kutapika hakikisha unafanya mambo yafuatayo ili kupunguza kutapika ukiwa nyumbani; A. Epuka Vitu vinavyokufanya wewe kama Mama Mjamzito kutapika. B. Usitumie vyakula vyenye mafuta na vyakula vyenye mchanganyiko wa pilipili. C. Tumia vyakula mfano Biscuit. D. Kunywa maji ya kutosha kila siku kuanzia lita 2.5 na zaidi E. Kwenda hospital kupatiwa Dawa za kuzuia kutapika! MUHIMU: Endelea kujifunza nami na uliza swali pale YouTube nikotayari kukujibu bila gharama. Subscribe,Comment and Share JapideAfya_Services Your Health is Our Health youtube.com/c/Dr.Mwanyika Instagram as @JapideAfya_Services Facebook page as @JapideAfya_Services ©Dr.Mwanyika.  #AfyaBora #KutapikaWajawazito #JapideAfya_Service

Category

Show more

Comments - 69