Duration 11:16

Mawimbi ya Nungwi hatari: Hapa nilipoteza watoto 11 / Meli ndogo hazipiti

34 510 watched
0
126
Published 13 Jan 2019

Wakati unatoka Unguja kwenda Pemba lazima upite sehemu iitwayo Nungwi. Eneo hili ilinaogopwa na kila abiria kutokana na kuwa na mawimbi makubwa ambayo yanaweza kuiyumbisha meli. Pia eneo hili zimewahi kutokea ajali kama MV Spice ambayo ilisababisha vifo vya watu 200 na majeruhi 600.

Category

Show more

Comments - 19