Duration 11:43

Kifo cha MAGUFULI, Chaibua HISIA Tofauti

781 315 watched
0
2.9 K
Published 12 Oct 2021

Category

Show more

Comments - 513
  • @
    @georgesmwanza4119last year Une dans la vie de voir un prsident chrtien john pombe magufuli je salue cette force de conviction que te garde.
  • @
    @aquilasmalela3383last year Je vois une fois dans l' histoire un prsident chrtien je suis congolais mais je aim beaucoup cet homme.
  • @
    @benedictmbelwa23853 years ago Mpendwa wetu mwenyezi mungu akuweke mahali pema peponi. Amin. 28
  • @
    @margarethkitalu31053 years ago This is exactly extremely broken heart. Rest in peace baba wa africa. 21
  • @
    @hymtv85043 years ago Kamwe hutasahaulika kwa kazi yako nzuri kama mtanzania mzalendo, ukae mahala pema peponi umetuonyesha njia. 6
  • @
    @neemarobson72763 years ago Rest in peace unforgettable president. 9
  • @
    @cliffordcyprian97803 years ago Mungu akulaze kiongozi wa kipekee. Kiongozi wa kupigiwa mfano. Mungu akubariki mahali pema peponi. Na mungu awabariki nchi ya tanzania na ndugu wetu id="hidden1" watanzania fuateni nyayo zake hayati rais. Viongozi kenya pia na mataifa mengine tuige mfano huo. Leadership comes from and it belongs to god. ...Expand 15
  • @
    @plainojacob98052 years ago I live to remember this god fearing man the late president pombe magufuli. 1
  • @
    @cardinaltraveltourism4682last year A god fearing man, africa needs more leaders who will put god first, people and country before all else.
  • @
    @florakweyunga44903 years ago Walikumaliza mpendwa wetu, lakini mungu yupo, kufa hatakufa ila chamotowote tunajua kabisaa, kifo cha jpm ni utata mtupu. 13
  • @
    @sajidatejpar3163 years ago No one cn be like him i salute him he is a hero. 3
  • @
    @kiyabolnjemu96463 years ago Kweli baba yeti amezikwa kwa ajili yetu! Alijitolea kufa ili sisi tuishi burma, jukumu lake lilikuwa ni kutuvusha tukiwa pamoja. Inauma sana lala salama baba. 15
  • @
    @amockkalinga15203 years ago Baba, baba, baba nina mengi yakukukumbuka pumnzka kwa amani baba nitakukumbuka daima wala siwezi kukusahau. 7
  • @
    @margaretmbongo34402 years ago Sitakusahau ktk maisha yangu ulioyafanyakamwe mungu akulaze mahali pema peponi amina. 2
  • @
    @ezekielchamoto52533 years ago Poleni watanzania, ila mkubali tu kua magufuli alienda kupumzika. 4
  • @
    @esterzabron59333 years ago Jaman baba yetu wa kwanza tanzania tutakuenz mile bila kukuxahau maixha yetu yotee! Pumzika kwa aman yooote jaman baba u forever and always@#. 3
  • @
    @littlekinglittleking3303 years ago Cna la kusema zaid mungu akupumnzishe tyu baba kwa aman. Kusema kwelii mim cwez kukusahau daima bado ujanitoka moyon. 2
  • @
    @ashurajuma90863 years ago Punzika salama baba etu, hakika umetymuachia simanzi, sijui kama tutafika huko ulipotukusudia baba etu, inauma sanaa. 4
  • @
    @katanamazurui47123 years ago Watanzania tuwe pole sote pia mungu ailaze roho ya shujaa raisi magufuli mahali pema peponi. 1
  • @
    @moshimkumbi46253 years ago Mungu ampunzishe kwa aman baba tunateseka aliekuua atalipia maana damu haiendi bure baba lala kwa aman na ongoza malika. 13
  • @
    @hassanthoya88752 years ago Hongera dkt pombe makufili rais wa tanzania. 2
  • @
    @sandalalutubija2353 years ago Aise jaman, tulikupenda ila mungu kakupenda. 5
  • @
    @emmanuelbonifas35173 years ago Mimi kwa nafisi yangu nakuombea kila siku mungu akupe raha ya milele na akusamehe upumzike kwa amankupitia kwako. 15
  • @
    @menyajoseph97293 years ago Jamani kifo nilazima lakini jpm mafisadi wa serikali wa limumaliza, inauma sana baaba ya africa rip we lost the great president of east africa. 18
  • @
    @cosmasmlyakado3582 years ago Baba hatutakusahau kamwe pumzika kwa amani. 5
  • @
    @yvonnerutebuka18623 years ago Nguzo yetu imaralala zakama baba magu. 7
  • @
    @syksyk72953 years ago Ina lilah wa inna linah lajuun sasa tunakumbuka n tunadhd kkukumbka pumzka kwa aman baba tunakuomb uwe nas man uk wananch uliokua unatutetea tumeshaanz
    kunynyswa n kutesw ya rabb tusimamie.
    2
  • @
    @vickyoung8516last year I really feel pain in my heart aki i miss this president, am from botswana. 1
  • @
    @AA-pd4pz3 years ago Jembe. Inshallah allah atakupa atakuweka sehemu nzuri. Na niko radhi basi upate pepo yangu. Mungu mbariki huyu mwamba wa chato.
  • @
    @ramyramy34553 years ago Mim naugua rohoni mpaka leo nasitasahau babaetu kipenzi cha watu wote africa, jpm alikua furaha kwa kila mtu hakua na upendeleo kbsaa alipenda wote tajiri, . ...Expand 4
  • @
    @febbycosmas62983 years ago Yaani huyu baba sijui kama atatoka vichwani mwa watu. Kazi aliimaliza ndo maana mungu alimpumzisha tu mbona hapa mungu alimwokoa? Mungu endelea kutufariji. 6
  • @
    @benjaminlijongwa37153 years ago Uki. Sikiliza vizuri magifuli utajua kwanini nchi inakuwa masikini. 1
  • @
    @youngb86723 years ago Subr niwashitak kwa mamlaka huskaaa mbwa niee naona mnashabkia kifo chake na kuanza kuandkactaarfa za uwongo hamuon aibu niee sio vzur. 1
  • @
    @juliusdonard9333 years ago Da cjui tutapatq raisi mwingine kama hyu. 1
  • @
    @bakariibrahimu60563 years ago Mungu akulaze pema peponi amina shujaa wawa tanania hatuwezi kupata raising mwingine kama ww.
  • @
    @rahmaramadhan97733 years ago Msituumize miyoyo yetu jamanii kwani bado tu nalia kila leo tunao mba mungu atusamehe mana tunapitiliza mpaka yakulia nanyie ndokwanza mnatuchubua roho . ...Expand 16
  • @
    @meshackntoga15663 years ago Sana, hiyoo, watangulizi baadhi yao sioo. Mungu na atujalie. 1
  • @
    @emmanuelhatangimana34313 years ago Africa kunatakiwa viongozi wa ukwel kama mzee wetu magufuri! Huyu alikua kipenzi cha mungu! Musema ukwel! Any way mungu wetu ampokee mbinguni! Amina. 6
  • @
    @dontiamyamba78513 years ago Asa kichwa cha habari na ujumbe mbna mda mbili tofauti nyo kutirusha roho t hapa.
  • @
    @khadijashabani5509last year Roho zao zimeshawatulia mungu anawangoja.
  • @
    @faidaimmaculee283 years ago Mtu mwema haishi munge mtuma congo sisi tunateseka kwa kukosa raisi.
  • @
    @marrykilyenyi8573last year Duuubaba daaah yan naumiaangalia tanzania vitu viko juu.
  • @
    @remigiushaule33023 years ago Kama kweli kuna binadamu amehusika na kifo chake ajue wazi kuwa damu ya mtu haipotei inalia mbele mwenyezi mungu mkuu. Itamludia tu. Huwezi kumwaga damu . ...Expand 3
  • @
    @philimonmartine96423 years ago Mungu yupo tutakumbuka daima magufuli wetu. 5
  • @
    @sharifaanna92883 years ago Pumzika kwa amani baba yetu wew ni xhujaa mungu akupe raha ya milele naitaware katka maisha yak mpya abay atayaza huko bingun amin. 13
  • @
    @fakhiqram12133 years ago Roho inauma sanaa machozi yetu tungekua yanakuamshaa ungeamka tu baba hata kwa dakika moja tu ingetoshaa kukuona.
  • @
    @mbunah2553 years ago Siwezi ongea tena kuhusu kifo lakina naweza sema rest in peace shujaa wetu. 14
  • @
    @annieamadeus1682 years ago Hahika tunamlilia baba wawa nyonge daima.
  • @
    @jembeally8200last year Jama pole sana baba yetu pumzika kwaamani peponi bado tunakupenda.
  • @
    @kibaopipa3474last year Hata wao pia watakufa tena watakufa kifo kibaya sana
    lala mahali pema shujaa wetu.
  • @
    @anithawidambe7543last year Kweli baba uliwatetea watu wako na nchi yako ulale salama baba.
  • @
    @munaahmed84993 years ago Walimuua ndio na allah asimame na ww huko uliko hakika ungekuw ukifa unaamka ww umgeamka kwani watanzania tunakulilia had leo walah hatutakusahau ktk nyoyo baba amka utusikize sie watu wako. ...Expand 3