Duration 34:21

Bishop Ngonyani- HISTORIA YA TAIFA LA ISRAEL EPISODE 1

31 279 watched
0
255
Published 7 Aug 2018

Ungana na Bishop Aulerian Ngonyani katika mfululizo wa mafunzo juu ya Historia ya taifa la Israel. Bishop Ngonyani ni Mwalimu wa neno la Mungu aliye bobea katika historia ya kanisa na theolojia. Kaa naye katika channel hii kujua historia ya kanisa na Taifa la Israel ili kukua kiroho na kuwa thabiti katika imani ya Kikristo.

Category

Show more

Comments - 86