Duration 10:49

Samia Amvaa Nape na Polepole Siwezi kukubali haya yanayosemwa yaendelee, Mbona Wakati hayakuwepo

36 859 watched
0
95
Published 28 Dec 2021

Category

Show more

Comments - 80
  • @
    @gracegrace62003 years ago Nape ni mmoja wa wahuni sugu ndani ya ccm. Mama lazima ufunguwe macho, tangu hayati magufuli ametuacha. Wahuni wengi wamejitokeza na kuharibu kukuonyesha . ...Expand 1
  • @
    @lameckbalekere19623 years ago Kwenye bwawa la nyelele january makamba ataki umalizwe mtoehapo. 10
  • @
    @wilbardvalerian65563 years ago Hongera sana madam president.
    keep it up! We will continue supporting you and your govt.
    2
  • @
    @raygamba1743 years ago Safi saana, mungu ibariki tanzania, mungu akubariki mama samia.
  • @
    @hamisisaidi24713 years ago Leo mama nimekuelewa sana achana naspika anasema nchi itapigwa mnada. 3
  • @
    @eaglecrown11013 years ago Mama komaa mama. Please tubuludishe mama. Mungu akupiganie. 2
  • @
    @mahobesiku59213 years ago Hapo umenena, lkn kua makn na baadhi ya wasaidiz wako wanakuangusha. 3
  • @
    @salsoandreas51473 years ago Watu wako wanakuangusha sana sio waaminifu wana kwiba sana. 5
  • @
    @wangwemseti75923 years ago Mama barabara ya sirari to arusha ijengwe haraka tena kwa kiwango cha lami hii barabara ni muhimu kwa watalii pale serengeti. 2
  • @
    @samwelsamson41353 years ago Ila mladi wa umeme kwss unaenda kama mwendo wa kinyonga tofaut naspd ya mwanzo mama ilo unalisemaje. 2
  • @
    @julianmadosh29513 years ago Tangu upeapishwa leo ndo hotuba yako nimeielewa nahic tutafika. 6
  • @
    @samwelsamson41353 years ago Uspokua makin bwawa la nyerere mwaka unaoanza kesho utaisha utaona mafundi wanakaa sait hakuna kinachoendelea angalia gess ya mtwara inafaida gan kwa watanzania maana ges imepanda sana halafu ilo jambo haliongelewi. 2
  • @
    @meckymwandambo64783 years ago Hongera raisi wetu jisimamie hivyo hongera sana kwa kujisimamia.
  • @
    @abdallahhaji37933 years ago Mradi wa bwawa la umeme ukimalizika utakuwa wenye manufaa makubwa kwadua kasi iongezeke kwenye ukamilishaji wa miradi. 2
  • @
    @jonasjoseph42883 years ago Ngoja tuvite subira tukitarajia mazuri. 1
  • @
    @mosaidi26333 years ago Mununue reli iliyo na mwonekano wa kisasa. 1
  • @
    @bobdeobobdeo80263 years ago Nakulewa mama endeleza mapambano hawa watukabisa.
  • @
    @charlesandrea37463 years ago Tatizo mikopo inaumiza mbona mlianzisha miradi mingi kwa pesa zetu wenyewe, mama tusiwe na haraka tumtangulize mungu kwanza na mtumie mbinu ambazo mlizitumia pesa mkapata hapa bila kukopa, sisi ni matajiri.
  • @
    @vincentmanyama38083 years ago Kuhusu kuchelea mradi nyenye mbona husemi.
  • @
    @zengomikomangwa92643 years ago Polepole alisema bado tunakopesheka. Naaliwaambia wahusika waseme. 1
  • @
    @emmanuelpeter89923 years ago Mama kumbe una nia njema ukikamilisha miladi hiyo 2025 kitaeleweka.
  • @
    @Mamatonny20653 years ago Hongera mheshimiwa rais samia.
    nakuunga mkono kwa harakati za kuleta maendeleo ya tanzania.
  • @
    @ibbyikh17883 years ago Pesa ya kukopa inaleta mandereo pale inapotumika ktk mandereo lakini ukikopa alafu pesa iende ktk mifuko ya wachache sawa na kujaza maji ktk tenga.
  • @
    @alexanderdustan88723 years ago Endelea hivo mama watu masikini watakupenda ila wahuni watakuona hufai. Kongole.
  • @
    @saxannjo61733 years ago Napata moyo sana kusikia haya kutoka kwako.
  • @
    @pavillioncry52413 years ago Mirembe umeskia jinsi mama alivokujib e
    huyu ndo mama aliyesoma hayumbishwi.
    1
  • @
    @zuberikupaza11843 years ago Kwenye hii hotuba ni wapi maelezo yake yanamgusa polepole? Labda nape anayekataa mradi wa umeme bwawa la nyerere! 2
  • @
    @Ali-nl2du3 years ago Mkopo wa kujenga si tatizo. Tatizo ni mkopo wa consumption, ambao hauzalishi kitu. Kazi iendelee mama. Tuharakishe kufika drc mapema. Hiyo nchi mungu kaipa utajiri wa ajabu. 1
  • @
    @manchalijob96003 years ago Watanzania tunataka tren ya umeme hatutaki ya mafuta.
  • @
    @josephatnyamageu10463 years ago Utekelezaji hakuna, usubutu hakuna, maamuzi hakuna, siasa hii ni hataree. 1
  • @
    @zachariahariohay3593 years ago Makamba anakwamisha mradi wa bwawa la nyerere mwuondoe.
  • @
    @musicosmas71573 years ago Jaman viongozi kuweni na macho mbele hii nchi ni yetu zote kama mmeona mama hawezi mbuge likae lijadili ili kuona nmna ya nchi yetu *.
  • @
    @hamismabula58133 years ago Rasilimali tunazo nyingi! Tatizo ni usimamizi, wanaokopa tuwaige wakati sisi tuna rasilimali kibao! Sisi ndo tungekopesha!
  • @
    @danielworshiper60023 years ago Kwani huko nyuma wewe ulikua wapi?
    si ulikiwa makamu wa nchi hi.
  • @
    @jmtz60443 years ago Muondoe makamba na wapumbaf wengine nape mtoe kabsa hata kimvuli chake kisiwepo fcm.
  • @
    @fortunatuskituli54113 years ago Saiti ya mama ataakichukia huwezi jua utaambiwa na macho yake,
    hoja ya supika kua nchi itauzwa sioni matiki yake, kwani tozo hazitoshi kufanya . ...Expand