Duration 8:37

Stamina na Roma 'ROSTAM' wakamilisha Album, Stamina akutwa Wasafi Record akirecord

215 235 watched
0
1.3 K
Published 17 Aug 2017

Rapa Stamina na Roma Mkatoliki katika muunganiko wao kama 'ROSTA' wamekuwa wakifanya kazi na tayari wamekamilisha ALBUM yao ya pamoja, Stanima kupitia EXCLUSIVE ya X-KiPande amefunguka furaha yake ya kupata nafasi ya kurecord katika studio za Wasafi.

Category

Show more

Comments - 72