Duration 4:9

Wahalifu watatiza usalama, Hali ya usalama yadoroa wajir Kusini ya chini

8 788 watched
0
78
Published 20 Sep 2021

Kundi la majangili linalo aminika kuwa zaidi ya watu ishirini na tano limekua likitatiza maisha ya wakaazi wanaoishi katika kaunti ndogo ya Hasabawein katika kaunti ya Wajir na kufanya ngumu kupelekea wakaazi chakula Cha msaada na maji kwa waathiriwa wa ukame.

Category

Show more

Comments - 3