NAIBU Waziri wa Kilimo, Hussein ameagiza wakaguzi kutoka hazina kuchunguza viongozi wote waliobadilisha matumizi ya Sh10 bilioni zilizoelekezwa kwenda Kampuni ya Mbolea Tanzania (TFC) kwa ajili ya kununua mbole na viatilifu na badala yake fedha hizo kupelekwa sehemu tofauti kinyume na sheria.
@antoinea.katembo53265 years agoHuyo bashe h. Huwaga anajielewa sana! Much love from states brother bashe h. 4
@
@harounali90575 years agoHongera muheshimiwa bashe nipo pamoja nawe allaah akuhifadhi. 1
@
@oswardmwambete7755 years agoBashesana kuwa wazili watanzania tunakuelewa sana chapa kazi baba chi isonge mbele imechelewa sana lkn itafika tu. 5
@
@anafisuleimani70835 years agoNakupenda sana naibu waziri wa tasnia hii akuamini sana. 4
@
@chachamarwa72995 years agoMh. Rais tunakuomba umpe mh bashe uwaziri kamili na siyo unaibu waziri huyu jamaa atakufurahisha pia atatufurahisha watanzania asante. 3
@
@feisalsalum12585 years agoMungu akujalie maisha mema akupe maisha marefu, ila utabili wangu hapo baadae uwazir kamili utaupata kabisa tena huenda ukawa mkuu. Inshaalah. 1
@
@mjige90885 years agoYes - kijana chapa kazi tu mr hapa kazi tu anakuona vizuri sana hapo ikulu magu the bulldozer president of africa. 1
@
@mohammedmdangwe20565 years agoBashe pambana wanachi tunakukubali kamata wote. 14
@
@ngurelore60315 years agoUwaziri unakuja mwishoe presdent, may god be with you. 5
@
@onesmohaule28535 years agoEhh mambo yananoga bajuta kachomoa betri. 5
@
@yahayamkone40405 years agoNajiskia fahari sana ninapoona mtu anafanya kazi za kuipeleka nchi mbele kama bashe nakukubali sana baba. 8
@
@johnmbugani65325 years agoNchi hii tunaihujumu mpaka shetani anatuogopa, yaani kuna uwezekanojinsi watumishi wengi wa serikali wanavyofanya mambo. Huwezi kuamini hadi leo hii bado kuna watumishi wanafanya mambo haya. Hatua kali zifuatwe bila kuchelewa. ...Expand5
@
@ramadhanisuru18225 years agoNakwambiya kuhuyu chalii mbona mtaelewatu. 6
@
@jabirikilagilile97995 years agoBashe uwe waziri kamili kwani hayo unayoyasema yanashabiiana kabisa na rais wetu inaonesha una uchungu na wakuli bajuta na hao viongozi wa bodi ya korosho. ...Expand2
@
@fauahamisi10975 years agoHapo bodi ya korosho hapo kuna balaa paangalie sana kuna balaa kubwa hapo mkuu utajionea. 3
@
@gilberthndakidemi73585 years agoBaba nakuelewa bajuta hakuna kitu anachozalisha kwa kiwango kinachotakiwa sisi watumiaji wa bidhaa as final consumer anachozalisha totally kiko chini ya. ...Expand4
@
@abdillahmbinga70505 years agoYaa ndio maana nikasema tunakuitaji sana. 4
@
@gregorychogelo20135 years agoUhuni wa hali ya juu! hiyo kampuni ya bajuta na cartel yake ni wa kuchukilia hatua kali iwe fundisho kwa washenzi wote wanaohujumu taifa. 2
@
@margarethsolomon98235 years agoSinema ya kihindi ikaanza. Wamezoea kupiga changa la mbolea hiyo ingeharibika. BAJUTA rudisha 4.5bl. 5
@
@hamishamis99055 years agoMagufuli uko wapi mpe uwaziri huyu jamaa ni noma sanaa.
@
@othmanshahib11155 years agoUpigaji wa hela za serikali siyo ishu tena ibaki histori tu. 3
@
@gregorychogelo20135 years agoHaya ndio mambo yanatakiwa. nyoosha wapuuzi wote. 2
@
@peterkihongosi19665 years agoSikumkulima akisaidiwa maendeleo yataonekana. 4
@
@patricknyiti53035 years agoBajuta wanajuta sasa. Angalieni na majina ya kuzipa kampuni jamani. Sawa na umwite mtoto majuto. 1
@
@johnmbugani65325 years agoSiyo tpri na tfra waitwe bali wao wanawajibika kwa mujibu wa sheria. Na hao wote walibadilisha matumizi kinyume na maelekezo ya serikali wafilisiwe na. ...Expand3
@
@rahmamazee28585 years agoNimekupata wamezoea hao mweshimiwa wanyooshe walikua wamipinda. 1
@
@nyerere12595 years agoWazee ela ya serikali hii ni chungu. Msaidie kazi jpm baba unaendana nae. 2
@
@ahmadmasunda81985 years agoWalibadilisha matumizi ili wapate 20 percent. 2
@
@gabrielbahat91075 years agoTutafika kwa mwendo huu! Watu wnafanya mambo ya ajabu! 2
@
@mwalimumbukuzi72735 years agoUsijetumiwa ki memo kwamba unaingilia anga za wakuu! Ila mwenyeezimungu akulinde. 4
@
@rajabungatanda37495 years agoPiga kazi baba hakuna kusinzia mpaka wakujue kama wewe ni jembe. 11
@
@deogratiusmaruma26525 years agoWewe unafaa kuwa waziri kabisa wa kilimo unaibu waziri haukufai, we ni jembee. 9
@
@godfreylyimo41775 years agoBashe sio tu ana uwezo wa akili lakini ana uzoefu wa biashara. Watendaji kumbukeni hii sentence " i mean business" sijui maana yake lkn nadhani huyu ana maanisha analosema na utendaji wake. 7
@
@ramadhansylvesta19525 years agoWewe ni wazirt sio naibu waziri for me. 2
@
@abdallabundala1585 years agoCorruption is flowing in many tanzania cilvil servants.
@
@samwelonesmo59645 years agoBashe swala la pamba vp mbona mkulima halipwi pesa af hadi sasa. 5
@
@godfreythomas39315 years agoYa badala ya kucmamia unga sasa1400 kilo uhangaika naambolea rais akicema hamfanyikaz mnaona mmeonewa. 4
@
@kabugashija48365 years agoNgangamala bashe labda nafuu ya wakulima itapatikana, lakini ni kwa nini ninyi mnaosoma na kupewa dhamana mnazitumia ovyo kutuumiza walalahoi? Na kutuimbisha wimbo wa hali ngumu? Eti raisi kabana. Je ni kweli? 3
Related videos for BASHE AWAKA KUCHEPUSHWA KWA MABILIONI YA FEDHA ZA UNUNUZI WA MBOLEA, VIATILIFU:
hiyo kampuni ya bajuta na cartel yake ni wa kuchukilia hatua kali iwe fundisho kwa washenzi wote wanaohujumu taifa. 2
nyoosha wapuuzi wote. 2
hakuna kusinzia mpaka wakujue kama wewe ni jembe. 11