Duration 2:45

NI BORA NIRUDI KWENYE NYUMBA NILIYOIANZISHA KULIKO KUBAKI ACT WAZALENDO-MZEE MAGANGA

155 watched
0
3
Published 23 Jul 2020

Aliyekuwa kada wa zamani wa NCCR Mageuzi jimbo la Kasulu na baadaye kujiunga na chama cha ACT Wazalendo na kupewa cheo cha Uenyekiti wa Jimbo la Kasulu Vijijini, Mzee William Maganga amerejea tena NCCR Mageuzi kwa kishindo.

Category

Show more

Comments - 4