Duration 1:3:31

KIPYENGA CHA MWISHO -

27 449 watched
0
141
Published 24 Jun 2021

Ungana na Osman Kazi akiwa na Ahmed Ally kwenye Kipyenga Cha Mwisho kutazama "utata na utatuzi" wa makosa yanayofanywa viwanjani wakati wa mechi mbalimbali za soka zinazochezwa kwenye michuano mbalimbali hapa nchini. Je, wiki hii, waamuzi wanapaswa kupongezwa kwa lipi na wanapaswa kukumbushwa kwa makosa waliyoyafanya kwenye mchezo gani? Ungana na waandaaji na wachambuzi katika KIPYENGA CHA MWISHO. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 71