Duration 19:50

Dhuluma zimezidi Zanzibar, Uamsho wanaonewa - Maalim Seif

59 345 watched
0
206
Published 5 Dec 2019

Mshauri Mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, anasema kuwa kiwango cha dhuluma dhidi ya raia kinazidi kuja juu visiwani Zanzibar, huku akigusia jinsi viongozi wa Jumuiya ya Uamsho wanavyodhalilishwa kwa mwaka wa saba sasa.

Category

Show more

Comments - 469