Duration 6:59

TUME YA RC GEITA YAWEKA MATOKEO HADHARANI.

128 watched
0
0
Published 20 Jan 2022

Tume ya wajumbe 35 iliyokuwa imeundwa na Mkuu wa Mkoa wa Geita Rosemarry Senyamule kuchunguza mchanganuo wa idadi ya vifaa na gharama za miradi ya vyumba vya madarasa yaliyojengwa kwa fedha za Uviko-19 imeshakabidhi ripori yake kwa Mkuu wa Mkoa. Matokeo ya timu hiyo yalibaini kila Halmashauri kutengeneza mchanganuo wake yenyewe wa vifaa na gharama za ujenzi na ndiyo sababu ya kuwepo tofauti ya gharama kwa kila chumba cha darasa ,lakini pia baadhi ya shule zimebainika kuwepo viashiria vya ubadhalifu na hivyo mkuu wa mkoa kuagiza Takukuru kuanza uchunguzi.

Category

Show more

Comments - 0